HAJJ 2022/ 1443 HIJIRIA

HAJJ 2022/ 1443 HIJIRIA

HAJJ 2022/ 1443 HIJIRIA

GHARAMA ZINAJUMUISHA

 1. Tiketi ya ndege kwenda na kurudi kutokea Dar es salaam/Zanzibar
 2. Viza ya Hajj
 3. Malazi (karibu na Haram) Makkah na Madina
 4. Chakula (milo mitatu kwa siku)
 5. Mahema Minna na Arafa
 6. Kuchinja (Dhamm)
 7. Ihraam kwajili ya wanaume
 8. Hijab na khanga kwa wanawake
 9. Maji ya zamzam
 10. Kitabu cha mwongozo wa hajj
 11. Begi la safari    

MASHARTI YA HAJJ

 1. Umri usiozidi miaka 65
 2. Chanjo ya uviko 19 (COVID 19)

SEMINA ZITAENDESHWA NA

 1. Sheikh Muharam Juma Doga
 2. Sheikh Twaha Suleiman Bani
 3. Sheikh Juma Kijepa
 4. Sheikh Yusuf Macherenga

MAWAKALA WETU

 • OMAR SALIM ITARA (DODOMA)

            0719 935 063 / 0682 782 849

 • AMIR ZUBIR (MWANZA)

            0685 928 477 / 0655 928 466

 • SALUM MJIJI NDAMA (KIGOMA)

             0716 826 722

 • ABDULHAMIID MARTIN RWEZAURA (KAGERA)

             0658 220 563

 • KHALFAN HASSAN MSAKA (IRINGA)

            0653 731 631 / 0622 731 631


                        

Enquiry & Booking